The 2023 Junior and Senior Mathematics Contest

Junior and Senior Mathematics Contest

MWALIKO WA WANAFUNZI KUSHIRIKI KATIKA MITIHANI YA MASHINDANO (Mathematics Contest)
Chama Cha Hisabati Tanzania (MAT/CHAHITA) kinaialika shule yako kuwaruhusu na kuwalipia wanafunzi kutoa katika shule yako ili washiriki kwenye mitihani ya mashindano ya Hisabati.  
Tarehe: 08.08.2023
Muda: saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana 
Aina za Mashindano: Junior Contest (Kidato cha 3 na 4) pia Senior Contest (Kidato cha 5 na 6).
Muda wa kuwasili kituo cha mtihani: Saa 2 asubuhi
Kutangaza washindi:  14 Machi 2023
Ada: TZS 10,000.00
Akaunti: 022103002293 Benki ya NBC
Tarehe ya mwisho kulipia: 31.07.2023
Vituo
1.	Dar es Salaam (Azania Sec, Kibasila Sec,  St. Anthony Sec, Feza Boys Sec, Loyola Sec and St. Mathew Sec.) 
2.	Coast/Pwani (Marian Boys Sec, Bagamoyo Sec, Kibiti Sec and Kibaha Sec)
3.	 Morogoro (Kilakala Sec and Mzumbe Sec)
4.	 Arusha (Arusha Tech Sec and Ilboru Sec)
5.	 Mbeya  (Mbeya Day) 
6.	Iringa (Klerruu Teachers College)
7.	 Dodoma (Msalato Sec)
8.	 Mwanza (Mwanza Sec and Sengerema Sec)
9.	 Tabora (Tabora Boys Sec)
10.	 Zanzibar  (Lumumba Sec)