Maadhimisho ya Siku ya Hisabati Duniani

Maadhimisho ya siku ya Hisabati duniani yatafanyika Kitaifa Mkoani Morogoro siku ya tarehe 14 Machi 2024. Maonyesho hayo yatatanguliwa na kujitolea kufundisha katika shule za sekondari za Manzese, Boko na Mugabe mkoani Dar es Salaam kuanzia tarehe 4 hadi 8 Machi 2024