Mafunzo ya Muda Mfupi na Mkutano Mkuu wa Mwaka 2023

Chama Cha Hisabati Tanzania (MAT/CHAHITA) kinawakaribisha waalimu na wadau wa Somo la Hisabati  kwenye mafunzo wafupi ya mada ziazohusu somo la Hisabati na kufuatiwa na Mkutano mkuu wa Mwaka 2023.
Mafunzo yatafanyika mkoani Arusha, katika Chuo cha Uhasibu Arusha kuanzia Tarehe 04 hadi 09 Septemba 2023. Ada ya ushiriki ni Sh. 100,000.00 na kila mshiriki atajigharamia usafiri, chakula na malazi.